BY ISAYA BURUGU 13TH JUNE,2023- Serikali imetangaza kuwa itaanza kuwazawadi wanariadha wanaovunja rekodi ya ulimwengu shiingi Milioni tano.Akizungumza wakati wa mkutano na wanariadha katika ikulu ya Nairobi mapema leo,rais Wiliam Ruto pia amesema kuwa serikali itatembea na wanariadha na kuwaunga mkono kuelekea…
Manusura 65 waliookolewa kutoka eneo la Shakahola waliokua wakipokea huduma za matibabu siku ya Jumatatu walifikishwa mahakamani na kusomewa shtaka la kukusudia kujitoa uhai kwa kukataa kula, katika Kituo cha uokoaji cha Sajahanadi huko Mtwapa. Manusura hao walisomewa shtaka hili baada ya…
Tume ya Maadili na Kupambana na Ufisadi EACC imezindua warsha ya siku tano ya kukabiliana na ufisadi ambao umekithiri kwenye utoaji zabuni. Warsha hiyo yenye mada “Kuimarisha Maadili katika Ununuzi wa Umma,” imeandaliwa kwa ushirikiano na Taasisi ya Kenya ya Usimamizi wa…
Waziri wa usalama wa ndani Kithure Kindiki ametangaza kuwa Mamlaka ya Kitaifa ya Kampeni Dhidi ya Matumizi Mabaya ya Pombe na dawa za Kulevya NACADA itaongezewa fedha ili kuiwezesha kupambana na kero la unywaji wa pombe na matumizi ya dawa za kulevya…
Ndindi Nyoro, amesema kwamba mswada wa fedha bado uko wazi kwa marekebisho zaidi ili kuhakikisha kwamba sauti ya wananchi inapata nafasi kwenye mswada huo.
Hakuna taifa linaloweza kupiga hatua za maendeleo bila kuwa na mfumo unaofaa wa kukusanya ushuru. Haya ni kwa mujibu wa waziri mwandamizi nchini Musalia Mudavadi, ambaye amewasuta wanaokosoa mapendekezo yaliyo katika mswada wa fedha wa 2023/24 akiwataka kutoa mapendekezo mbadala ya jinsi…
Waziri wa usalama wa ndani na Utawala wa Kitaifa Kithure Kindiki ametangaza kuwa serikali itajenga shule tano maalum chini ya Mpango wa Amani. Shule hizo tano Dira, Todo, Tuwit, Lomuke, na Chepchoren, zitahakikisha wanafunzi kutoka Kaunti za Elgeyo Marakwet, Baringo na Pokot…
Shughuli za kawaida katika bunge la taifa alasiri ya leo, zilisitishwa baada ya kizaazaa kuibuka kuhusiana na uamuzi wa kumbandua Sabina chege kama naibu mnadhimu wa walio wachache katika bunge hilo. Katika uamuzi wake, spika Wetangula alieleza bunge kwamba agizo la mahakama…