Haji

Ujasusi ulitoa taarifa kuhusu shakahola mkwa muda unaofaa – Noordin Haji

Idara ya ujasusi nchini Ilitoa taarifa kuhusu matukio katika msitu wa shakahola kwa muda unaofaa. Haya ni kwa mujibu wa mkurugenzi mkuu mteule wa huduma ya ujasusi nchini Noordin Haji, ambaye aliitetea NIS dhidi ya tuhuma kuwa ilizembea katika utoaji wa taarifa…

Mark Mwenje

Mbunge Mark Mwenje ateuliwa kama naibu mnadhimu wa wachache bungeni.

Muungano wa Azimio la Umoja umemteua Mark Mwenje ambaye ni mbunge wa Embakasi Magharibi kama naibu wa mnadhimu katika bunge la kitaifa, kutwaa wadhifa uliokuwa ukishikiliwa na mbunge mteule Sabina Chege. Mabadiliko haya yametangazwa na kinara wa wachache katika bunge la taifa…

Ukosefu wa usafiri Afrika umechangia ongezeko la bei ya bidhaa kwa hadi asilimia 40.

Ukosefu wa miundombinu muhimu hasa katika sekta ya usafiri miongoni mwa mataifa ya Afrika, ni mojawapo ya changamoto zinazochangia katika ongezeko la bei za bidhaa kati ya mataifa haya kwa hadi asilimia 40. Haya ni kwa mujibu wa Rais William Ruto, ambaye…

Rais William Ruto aongoza mkutano kuhusu uwekezaji barani Afrika jijini Nairobi.

Rais William Ruto hivi leo ameongoza mkutano kuhusu uwekezaji barani Afrika jijini Nairobi. Rais Ruto akizungumza kwenye mkutano huo alipendekeza bara la Afrika kuimarisha mfumo wa biashara kwa kutumia sarafu zake ili kupunguza kutegemewa kwa utumizi wa dola. Ameongeza kuwa hatua hii…

Wakaazi wa Narok wafaidika na Uchunguzi wa afya pamoja na hamasisho ya bure kuhusu saratani.

Mamia ya wakaazi mjini Narok walifaidika na Uchunguzi wa afya pamoja na hamasisho ya bure kuhusu ugonjwa wa saratani kutoka kwa wahudumu wa afya wa hospitali ya rufaa ya Narok, hospitali ya Medicatia kwa ushirikiano na kanisa la New Seventh Day Adventist.…

Seth Panyako ajiuzulu kama naibu mwenyekiti wa chama cha UDA.

Aliyekuwa naibu mwenyekiti wa chama cha UDA Seth Panyako, ameachia ngazi na kujiuzulu kutoka kwa wadhifa wake katika chama hicho. Hatua hiyo ya kujiuzulu imekujia kufuatia tofauti za misimamo ya chama na msimamo wake binafsi, huku yeye akipinga pendekezo la malipo ya…

IPOA yaanzisha uchunguzi baada ya watu sita kuuawa kwa kupigwa risasi huko Isebania.

Mamlaka Huru ya kutathmini utendakazi wa polisi IPOA imeanzisha uchunguzi baada ya watu sita kuuawa kwa kupigwa risasi wakati umati ulivamia Kituo cha Polisi cha Isebania huko Migori Alhamisi jioni. Kwa mujibu wa ripoti ya polisi kuhusu tukio hilo, kundi hilo la…

Jamii yatakiwa kuwakumbatia wasichana badala ya kuwatenga wanapopata hedhi zao.

Huku ulimwengu ukitarajiwa kuadhimisha siku ya usafi wa hedhi duniani hapo kesho, jamii imetakiwa kuwakumbatia kina mama na wasichana badala ya kuwatenga wanapopata hedhi zao. Akizungumza na kituo hiki kwenye mahojiano ya kipekee, Afisa wa afya anayesimamia idara ya afya ya uzazi…