Rais William Ruto ameongoza kongamano la ID4AFRIKA ambapo zoezi la kutengeneza vitambulisho vya kidigitali limezinduliwa. Ruto ameeleza kuwa Kenya ni miongoni mataifa ya kwanza barani Afrika kuanzisha mfumo wa sera ya ulinzi wa data unaojumuisha sheria na kanuni za data ya kibinafsi.…
Katibu katika Idara ya urekebishaji wa tabia nchini Esther Ngero amejiuzulu, siku saba baada ya uhamisho wake kutoka kwa ofisi ya mkuu wa baraza la Mawaziri Musalia Mudavadi. Ngero amekua afisa wa kwanza wa serikali kujiuzulu kwa kile alichokitaja kama sababu za…
Miradi hii ya CIPD, ni sehemu ya miradi 64 ya maendeleo itakayozinduliwa baada ya zaidi ya miradi 363 kuzinduliwa katika awamu ya kwanza
Mkurugenzi wa Mashtaka ya Umma Noordin Haji, ambaye anatazamiwa kuwa Mkurugenzi Mkuu mpya wa Huduma ya Kitaifa ya Ujasusi (NIS) atapigwa msasa na Bunge Jumanne wiki ijayo. Wakenya wana hadi Jumatatu wiki ijayo kuwasilisha maoni yao kuhus kuteuliwa kwa Haji kama bosi…
Odinga amesisitiza kwa mara nyingine kwamba hana haja na mapatano yoyote na serikali, akiitaja kuwa iliyojaa udhaifu.
Aliyekuwa Rais Uhuru Kenyatta amewashutumu baadhi ya viongozi kwa kuwatusi wengine wakati wa ibada za Kanisa. Akizungumza Jumatatu wakati wa Kongamano la Kitaifa la Wajumbe wa Jubilee jijini Nairobi, Uhuru alisema alama ya njiwa ya Jubilee inawakilisha amani. Katika shambulio linaloonekana dhidi…
Mchungaji Ezekiel Odero sasa ataweza kufikia akaunti zake zote za benki ambazo zilikuwa zimefungiwa kwa siku 15. Hii ni baada ya kukamilika kwa siku 15 zilizotolewa na mahakama. Afisa mpelelezi Inspekta Martin Munene akiwa anahojiwa na Wakili Danstan Omari, aliambia mahakama kwamba…
Maafisa wa polisi wanaowasaka manusura katika msitu wa Shakahola kaunti ya Kilifi sasa wataendeleza shughuli ya uokoaji hadi katika mbuga ya wanyama ya Tsavo Mashariki. Waziri wa usalama wa Ndani na Utawala wa Kitaifa, Kithure Kindiki alisema Serikali itajumuisha msako wa ndege…