BY ISAYA BURUGU 20TH MAY 2023-Aliyekuwa rais Uhuru Kenyatta ametangaza ukumbi mpya kutakapoandaliwa mkutano wawajumbe wakuu wa chama cha Jubilee jumatatu ijayo.Kupitia notisi aliyoitoa leo ,uhuru amesema ukumbi mpya kwa wajumbe wa chama utakuwa ni uwanja wa Ngong Race course jijini Nairobi.…
BY ISAYA BURUGU 20TH MAY 2023-Kenya inaungana na ulimwengu leo kuadhimisha siku ya ufugaji wa nyuki wito ukitolewa kwa wakulima kupunguza matumizi ya dawa iliyo na kemikali katika mimea hali ambayo inaadhari nyuki na wadudu wengine. Ni kutokana na mtumizi hayo ya…
Asasi za usalama zinazo ongoza operesheni katika maeneo ya kaskazini mwa bonde la Ufa, zimefanikiwa kutwaa bunduki 96 kutoka kwa wahalifu wanaoiba mifugo katika kaunti ya Samburu. Bunduki hizo zikiwemo zile za aina ya M16 zimetwaliwa katika kipindi cha wiki tatu. Aidha…
Mahakama Kuu jijini Nairobi imeamuru kwamba akaunti za kibinafsi za benki zilizosajiliwa kwa majina ya Msajili Mkuu wa Idara ya Mahakama, Anne Atieno Amadi, pamoja na mwanawe Brian Ochieng Amadi na wengine wawili zizuiliwe. Hii ni baada ya Bi Amadi kushtakiwa pamoja…
BY ISAYA BURUGU 19TH MAY 2023-Ni afueni kwa mchungaji Ezekiel Odero baada ya mahakama kupunguza muda ambao akaunti zake za benki zitafungwa kufanikisha uchunguzi wa polisi kutoka siku 30 hadi siku 14. Hakimu BenMark Ekhubi amesema amri hizo za awali zitatamatika siku…
BY ISAYA BURUGU 19TH MAY 2023-Rais William Ruto amemteua aliyekuwa Waziri wa Michezo Rashid Echesa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya kitaifa ya Chemichemi za maji .Kwa mujibu wa notisi ya gazeti la serikali ya Mei 19, 2023, Echesa itahudumu kwa muda wa…
Naibu wa rais Rigathi Gachagua ameeleza kwamba Serikali ya Kenya kwanza haitaruhusu kwa vyovyote vila kuwapa viongozi wa upinzani nafasi katika serikali. Akizungumza kwenye kongamano lililowaleta pamoja wajumbe wa chama cha UDA jijini Nairobi, Gachagua amesema kuwa uongozi uliopita ulitekeleza wajibu wake…
Waziri wa usalama wa ndani Kithure Kindiki ameeleza kuwa oparesheni ya maliza uhalifu inayoendeshwa katika kaunti sita zilizoko eneo la kaskazini mwa bonde la ufa inendelea vyema. Akizungumza wakati wa hafla ya kufuzu kwa maafisa wa akiba katika eneo la Kimalel kaunti…