Rais William Ruto hii leo amekuwa mwenyeji wa waziri mkuu wa Singapore Lee Loong ambapo wamekubaliana kuimarisha ushirikiano baina ya mataifa hayo mawili. Kwenye kikao cha pamoja na waandishi wa habari, wawili hao wamesema kuwa wataweka mikakati itakayohakikisha kuwa wawekezaji wa Singapore…
BY ISAYA BURUGU 18TH MAY 2023-Chama cha Jubilee kinasisitiza kuwa Kongamano la Wajumbe wa Kitaifa lililopangwa bado litaendelea.Katika taarifa yake, kaimu mkurugenzi mtendaji wa chama hicho Polycarp Hinga alisema NDC itaendelea kama ilivyopangwa Mei 22. Hinga, hata hivyo, hakuzungumzia suala la ukumbi…
BY ISAYA BURUGU 18TH MAY 2023-Wafanyikazi wa Chuo Kikuu cha Maasai Mara chini ya mwavuli wao (KUSU) wamemuomba Waziri wa elimu Ezekiel Machogu kuchukua hatua za kisheria kufuatia madai ya uvujaji wa fedha na ukandamizaji wawafanyikazi wa chou hicho unaodaiwa kuendeshwa na…
Kiongozi wa taifa Rais William Ruto amependekeza bara la Afrika kutengewa nafasi mbili za kudumu katika baraza la umoja wa mataifa UN, ili kuwezesha bara hili kupiga hatua mbele katika maswala ya maendeleo na pia kuendeleza ajenda yake ya kukabiliana na mabadiliko…
Wanafunzi waliofanya mtihani wa kitaifa KCSE mwaka jana sasa wanaweza kujisali kupata nafasi katika vyuo vikuuu humu nchini. Akizungumza alipokuwa akizindua shuguli ya uteuzi wa wanafunzi kupitia njia ya mtandao KUCCPS, waziri wa Elimu Ezekiel Machogu alisema wanafunzi 173,127 waliopata alama ya…
BY ISAYA BURUGU 17TH MAY 2023-Wanafunzi pamoja na wazazi wa shule ya msingi ya Ilmashariani viungani mwa mji wa Narok wamefanya mandamano leo kupinga hatua ya kuhamishwa kwa mwalimu mkuu wa shule hiyo Jane Sankok. wakizungumza na wandishi wa habari wazazi pamoja…
BY ISAYA BURUGU 17TH MAY 2023-Serikali ya Canada imepuzilia mbali uumbe wa mtandao wa Twitter kutoka kwa Waziri wa maswala ya kigeni wa Kenya Alfred Mutua kuwa kuna fursa chungu nzima za ajira kwa wakenya katika taifa hilo la magharibi mwa Marekani.…
Rais William Ruto ametangaza kumteua Noordin Haji, Mkurugenzi wa sasa wa Mashtaka ya Umma (DPP), kuwa Mkurugenzi Mkuu mpya wa Huduma ya Kitaifa ya Ujasusi (NIS). Taarifa rasmi iliyotiwa saini na Felix Koskei, Mkuu wa Utumishi wa Umma, ilieleza kuwa Haji atarejea…