Huku ulimwengu ukiadhimisha siku ya mtoto wa kiume ,wanaharakati wa kutetea haki za watoto katika kaunti hii ya Narok wameelezea wasiwasi wao kuwa maslahi ya mtotowa kiume katika jamii yanazidi kupuuzwa kwa kiwango kikubwa. Wamedai kwamba hali hiyo imepelekea wengi wa watoto…
BY ISAYA BURUGU,16TH MAY 2023-Kongamano la kitaiafa kujadili kilimo cha maembe limeanza rasmi hivi leo mjini Wote kaunti ya Makueni.Ni kongamano la siku tatu na limewavutia washikadau kutoka kaunti 15 ambapo maembe hukuzwa kwa wingi. Mathumuni ya kongamano hilo ni kuzungumzia kilimo…
Mpaka wa Kenya na Somalia utafunguliwa tena kwa awamu tofauti ndani ya siku 90 zijazo, kuanzia leo. Waziri wa Mambo ya Ndani Kithure Kindiki amesema mpaka wa Mandera-Bulahawa utafunguliwa katika muda wa siku 30 zijazo. The Mandera-Bulahawa border point, Mandera County will…
BY ISAYA BURUGU 15TH MAY 2023-Mhubiri Ezekiel Odero wa new life Church katika kaunti ya Kilifi amepata pigo jipya baada ya mahakama kuu jijini Mombasa kukataa ombi kutoka kwa mhubiri huyo lililoitaka kuagiza akaunti zake za benki na kituo cha televisheni kufunguliwa.…
BY ISAYA BURUGU,15TH MAY 2023-Wanaume wawili na mwanamke mmoja wamekamatwa kama washukiwa wa kesi ya kutoweka kwa mtoto mdogo.Polisi wamesema washukiwa watatu wako kizuizini kufuatia kutoweka kwa msichana wa miaka 14 mnamo Mei 9, katika kituo cha reli cha Nairobi. Polisi walisema…
BY ISAYA BURUGU,15 2023-Mamlaka ya Kudhibiti Nishati na Petroli nchini (EPRA) imetangaza kuongeza bei ya mafuta nchini.Katika mabadiliko hayo, bidhaa hio mihimu imeongezeka kwa shilingi 3.40 kwa lita ya petroli, shillingi 6.40 kwa mafuta ya dizeli na shillingi 15.19 kwa lita moja…
Semi za kisiasa zilitawala hafla ya mazishi ya Shujaa wa Mau mau Bi. Mukami Kimathi hii leo, wanasiasa waliohudhuria wakitumia muda walipata mbele ya kipaza sauti kuvuta ngoma upande wao. Kati ya vigogo waliopata nafasi ya kuzungumza ni Pamoja na Kinara wa…
Mpiganiaji uhuru Marehemu Mukami Kimathi amezikwa nyumbani kwake huko Njabini, Kaunti ya Nyandarua. Familia na marafiki pamoja na viongozi wa ngazi ya juu serikalini walikongamana ili kutoa heshima za mwisho kwa mama Mukami. Jamaa zake wamemmiminia sifa tele na kumataja kama mama…