BY ISAYA BURUGU 13TH MAY 2023-Rais Wiliamu Ruto na kinara wa Azimio la umoja one Kenya Raila Odinga wamekutana ana kwa ana leo tangu uchaguzi mkuu wa mwaka 2022.Viongozi hao wawili wamekutana katika hafla ya mazishi ya Marehemu Mukami Kimathi, mke wa…
Idadi ya watu walioaga dunia katika eneo la shakahola, imefikia 179, baada ya miili 29 zaidi kufukuliwa hii leo. Idadi hii ndiyo ya juu zaidi kufukuliwa katika eneo hilo tangu zoezi la ufukuzi lilipoanza kwenye msitu huo mwezi jana. Mratibu wa ukanda…
Eneo la magharibi mwa kenya linaongoza katika visa vya unywaji wa pombe haramu nchini ikifuatwa na maeneo ya pwani na kati. Haya ni kwa mujibu wa ripoti iliyozinduliwa leo na mamlaka ya kitaifa ya kampeni dhidi ya unywaji wa pombe haramu na…
Familia na jamii katika kaunti hii ya Narok ziko tayari kunufaika kutokana na mpango wa kukabili mabadiliko ya tabianchi. Mpango huo unalenga kuimarisha uwezo wa jamii kukabiliana na athari mbaya za mabadiliko ya hali ya hewa, hasa ukame wa muda mrefu ambao…
BY ISAYA BURUGU,12TH MAY 2023-Huku Kenya ikiungana na ulimwengu hivi leo kuadhimisha siku ya wauguzi duniani hivi leo,wauguzi katika kaunti ya Nyamira wamelalamikia mazingira duni ya utenda kazi. Wakizungumza katika hospitali ndogo ya Masaba kaskazini mjini Keroka,wauguzi hao wamelalamikia kucheleweshwa kwa mishahara…
BY ISAYA BURUGU,12TH MAY 2023-Katika juhudi za kukwamua maendeleo katika kaunti ndogo ya Narok kusini,hazina kuu yakitaifa inapania kutoa Zaidi ya shilingi milioni 200 kwa minajili ya kufanikisha azimio hilo. Naibu kamishna wa Narok Kusini Felix Kisalu amedokeza kuwa maeneo ya Narosura,Loita,…
Rais William Ruto amevunja kimya chake, kuhusiana na mapendekezo ya kutozwa kwa asilimia 3 ya mshahara wa wafanyakazi ili kusaidia katika ujenzi wa nyumba za bei nafuu nchini. Akizungumza katika hafla ya uzinduzi wa ujenzi wa nyumba hizi za bei nafuu katika…
Naibu wa rais Rigathi Gachagua na waziri wa usalama wa ndani Kithure Kindiki hii leo wamezuru kaunti ya mandera ambapo kongamano la kujadili mikakati ya kiusalama katika mpaka wa Kenya, Somalia pamoja na Ethiopia limeandaliwa. Kongamano hilo vilevile limehudhuriwa na mawaziri wa…