BY ISAYA BURUGU ,11TH MAY 2023-Kaunti ya Makueni imetamatisha maandalizi ya konganao la kwanza kabisa la kitaiafa kuhusu maembe.Gavana wa kauni hiyo Mutula Kilonzo Junior anasema kuwa wameshirikiana na idara zingine za kilimo kama vile shirika la kilimo nchini kufanikisha kongamano hilo…
BY ISAYA BURUGU 11TH MAY 2023-Kaimu naibu kamishana wa Narok ya kati Aldi Shakur Ali amesema serikali itachuguza wanaotumia mitandao ya kijamii visivyo na kuwachukulia hatua.Aameyasea hayo alipozungumza na wandishi wa habari katika afisi ya vijana mjini Narok katika mkutano uliyowaleta pamoja…
Mazungumzo ya maridhiano kati ya mrengo wa Azimio la Umoja na Kenya kwanza yatatekelezwa kwa kipindi cha siku sitini kuanzia Alhamisi tarehe 11 mwezi Mei. Hii ni baada ya pande zote zinazohusika katika mazungumzo haya kukubaliana kuhusu mambo ya msingi yatakayo jadiliwa…
Mhubiri mwenye utata Paul Mackenzie na washtakiwa wenzake watazuiliwa kwa siku 30 zaidi huku maafisa wa upelelezi wakichunguza mauaji ya Shakahola, ambapo zaidi ya watu 133 hadi sasa wamethibitishwa kufariki. Uamuzi huo umetolewa na Hakimu Yusuf Shikanda ambaye alisema kuwaachilia huru kwa…
BY ISAYA BURUGU,10TH MAY,2023-Zoezi la kutazama mwili wa hayati aliyekuwa mkewe mpiganiaji uhuru Dedan Kimathi Mukami Kimathi litafanyika jumaosi hii kabla ya mazishi yake. Mukami aliaga dunia wiki jana akiwa na umri wa miaka 101.Katibu wa wizara ya usalama wa ndani Raymond…
Kiongozi wa taifa Rais William Ruto amefanya mazungumzo na rais wa Israel Isaac Herzog nchini Isarel ambapo wawili hao wameafikiana kushirikiana hasa katika ukuzaji wa chakula. Rais Ruto vilevile ameelezea hamu yake ya kushirikiana na taifa hilo kwenye sekta za afya, uchumi…
Rais William Ruto amefanya mazungumzo na rais wa Israel Isaac Herzog nchini Isarel ambapo wawili hao wameafikiana kushirikiana hasa katika ukuzaji wa chakula. Rais Ruto vilevile ameelezea hamu yake ya kushirikiana na taifa hilo kwenye sekta za afya, uchumi wa baharini pamoja…
BY ISAYA BURUGU 9 MAY 2023-Mawakili wa mhubiri Ezekiel Odero wanaitaka serikali kufungua akaunti 15 za mhubiri huyo zilizofungwa.Mawakili wake Danstan Omari na Cliff Ombeta wamesema hatua ya kufungwa kwa akaunti hizo kumesababisha dhiki na mahangaiko kwa Zaidi ya wanafuzni 100 kutoka…