Rais Ruto akutana na katibu mkuu wa UN Antonio Guteres ikuluni Nairobi

 BY ISAYA BURUGU 4TH MAY 2023-Rais Wiliam Ruto hivi leo amekuwa mgeni wa katibu mkuu wa umoja wa mataiafa Antonio Guteres katika ikulu ya Nairobi.Guteres akizungumza kwenye kikao hicho amesema kuwa ni jambo la kutamausha kuona kuwa adhari za kikoloni zingali bayana…

Wanne wawekwa wakfu kuwa mashemazi katika jimbo katoliki la Ngong

BY ISAYA BURUU 4TH MAY 2023-Askofu wa jimbo katoliki la Ngong John Oballa Owaa hivi leo ameongoza misa maalum kwa ajili ya kuwaweka wakfu  watu wanne kuwa mashemazi.Wanne hao ni Jasper Nyabayo kutoka parokia ya Ichumi kisii,Ambrose misiku kutoka jimbo la kakamega,Joachim…

Waziri Machogu

Waziri Machogu awaonya wanaoendeleza biashara za kibinafsi shuleni.

Waziri wa elimu nchini Ezekiel Machogu amewaonya wakuu wa shule zote nchini dhidi ya kuruhusu kuendelea kwa biashara zozote za kibinafsi katika mazingira ya shule. Akizungumza alipojiwasilisha bungeni ili kujibu maswali ya wabunge, Waziri Machogu ameeleza kwamba ni haramu kwa wafanyabiashara kujihusisha…

MCK yatakiwa kuwakabili watu wasio na ujuzi katika taaluma ya uandishi wa habari.

Waziri wa Usalama wa Ndani Kithure Kindiki ametoa wito kwa Baraza la Vyombo vya Habari nchini na wadhibiti wengine kuwaondoa watu wasio na ujuzi katika taaluma ya uandishi wa habari. Kulingana na Kindiki, matapeli wamefanya kuwa vigumu kwa mashirika ya usalama kutoa…

Katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres awasili humu nchini  kufuatilia hali ya kibinadamu na kuisalama nchini Sudan

BY ISAYA BURUGU 03,MAY 2023-Katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres amewasili humu nchini  kufuatilia hali ya kibinadamu na kuisalama nchini Sudan kufuatia wiki za makabiliano.Bw Guterres amepokelewa na Waziri wa mambo ya nje wa Alfred Mutua katika uwanja wa ndege,…

Kenya yaungana na ulimwengu kuadhimisha siku ya uhuru wawanahabari wito ukitolewa kwa serikali kujizatiti katika kulinda maslahi ya wandishi Habari nchini

BY ISAYA BURUGU 03,MAY 2023-Wadau mbali mbali katika sekta ya uandishi Habari  wanakutana hivi leo katika hoteli ya Safaripark jijini Nairobi kuadhimisha siku ya uhuru wa wanahabari ulimwenguni. Siku hii huadhimishwa tarehe tatu mwezi Mei Kila mwaka. Madhimisho ya mwaka huu yanayongozwa…

Lusaka

Gavana Lusaka kuongoza kamati ya magavana ya mazungumzo ya pande mbili.

Gavana wa Kaunti ya Bungoma Kenneth Lusaka amechaguliwa na baraza la magavana kuongoza kamati ya magavana kumi watakaosaida kufanikisha mazungumzo kati ya upande wa serikali na viongozi wa upinzani ili kutuliza joto la kisiasa linaloendelea nchini. Viongozi waliopendekezwa na magavana nchini wanajumuisha:…

Wakenya 409 wasafirishwa kutoka nchini Sudan kufikia sasa.

Wakenya 409 wamesafirishwa kutoka nchini Sudan kufikia sasa huku serikali ikiendelea na mipango ya kuwarejesha nyumbani wakenya waliosalia nchini humo. Kwa mujibu wa waziri wa mambo ya kigeni Alfred Mutua ni kwamba Kenya inachangia pakubwa katika juhudi za kurejesha amani nchini humo…