Spika wa bunge la Kitaifa Moses Wetangula, amemruhusu mbunge mteule Sabina Chege kuendelea kutekeleza wajibu wake bungeni kama naibu wa mnadhimu wa walio wachache katika bunge hilo. Katika uamuzi wake, Spika Wetangula alieleza kwamba Muungano wa Azimio haukufuata kanuni zinazofaa kwa kuwasilisha…
Baraza la Muungano wa Azimio la Umoja limetoa muda wa siku 30 kwa mazungumzo ya pande mbili kukamilika baada ya kuanza. Mkuu wa Azimio Raila Odinga na kinara wa Wiper Kalonzo Musyoka walisema mazungumzo yao na mrengo wa Kenya Kwanza yatahusu masuala…
Watu wawili walioshtakiwa kwa mauaji ya mwanafunzi wa mwaka wa kwanza wa Chuo Kikuu cha Maasai Mara watasalia rumande kwa siku 21 huku polisi wakifanya uchunguzi kuhusu tukio hilo. Washtakiwa wawili Brian Kimutai Bepco, mwanafunzi wa mwaka wa nne wa Chuo Kikuu…
BY ISAYA BURUGU 4TH MAY 2023-Rais Wiliam Ruto hivi leo amekuwa mgeni wa katibu mkuu wa umoja wa mataiafa Antonio Guteres katika ikulu ya Nairobi.Guteres akizungumza kwenye kikao hicho amesema kuwa ni jambo la kutamausha kuona kuwa adhari za kikoloni zingali bayana…
BY ISAYA BURUU 4TH MAY 2023-Askofu wa jimbo katoliki la Ngong John Oballa Owaa hivi leo ameongoza misa maalum kwa ajili ya kuwaweka wakfu watu wanne kuwa mashemazi.Wanne hao ni Jasper Nyabayo kutoka parokia ya Ichumi kisii,Ambrose misiku kutoka jimbo la kakamega,Joachim…
Waziri wa elimu nchini Ezekiel Machogu amewaonya wakuu wa shule zote nchini dhidi ya kuruhusu kuendelea kwa biashara zozote za kibinafsi katika mazingira ya shule. Akizungumza alipojiwasilisha bungeni ili kujibu maswali ya wabunge, Waziri Machogu ameeleza kwamba ni haramu kwa wafanyabiashara kujihusisha…
Waziri wa Usalama wa Ndani Kithure Kindiki ametoa wito kwa Baraza la Vyombo vya Habari nchini na wadhibiti wengine kuwaondoa watu wasio na ujuzi katika taaluma ya uandishi wa habari. Kulingana na Kindiki, matapeli wamefanya kuwa vigumu kwa mashirika ya usalama kutoa…
BY ISAYA BURUGU 03,MAY 2023-Katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres amewasili humu nchini kufuatilia hali ya kibinadamu na kuisalama nchini Sudan kufuatia wiki za makabiliano.Bw Guterres amepokelewa na Waziri wa mambo ya nje wa Alfred Mutua katika uwanja wa ndege,…