Rais William Ruto hii leo ameliongoza taifa katika kuadhimisha siku kuu ya leba. Akizungumza wakati wa hafla iliyoandaliwa katika bustani ya Uhuru jijini Nairobi, rais Ruto amesema kuwa ako tayari kufanya kazi na viongozi wote wa miungano ya wafanyakazi kwa manufaa ya…
Waziri wa usalama wa ndani Kithure Kindiki hivi leo amerejea Shakahola kaunti ya Kilifi kushuhudia shughuli ya uchunguzi wa miili iliyopatikana katika eneo hilo inayohusishwa na dhehebu la mhubiri Bandia Paul Mackenzie. Hadi kufikia sasa miili 110 imefukuliwa kutoka shamba hilo. Kindiki…
BY ISAYA BURUGU,1ST MAY,2023-Maafisa wa polisi mjini Narok wanaendesha uchunguzi kufuatia kifo cha kutatanisha cha mwanafunzi wa mwaka wa kwanza katika chou kikuu cha Masai mara .Mwanafunzi huyo aliyetambuliwa kama Adah Nyambura mwenye umri wa miaka 20 anaripotiwa kutoweka saa tatu na…
BY ISAYA BURUGU 1ST MAY,2023-Afisa mmoja wa polisi anauguza majeraha ya risasi katika hospitali ya rufaa ya Marsabit baada ya gari la polisi walimokuwa wameabiri kuvamiwa na majambazi katika eneo la kambinye eneo bunge la Laisamis kaunti ya Marsabit . Wakati wa…
BY ISAYA BURUGU,29TH APRIL,2023-Polisi hivi leo wamewaokoa watu 17 kutoka kwa kanisa linaloshukiwa kuwa la mafunzo ya kupotosha huko Nakuru.Polisi wanasema , mzazi kutoka Kaunti ya Uasin Gishu aliripoti kuwa bintiye alikuwa amefungiwa katika nyumba moja katika kijiji cha Kamwene ‘B’, wadi…
BY ISAYA BURUGU,29TH APRIL,2023-Rais William Ruto ameapa kutumia kila nguvu alizo nazo kuhakikisha kuwa mandamano yaliyopangwa na mungano wa Azimio la Umoja one Kenya jumanne wiki ijayo hayageuka na kuwa ghasia.Matamshi hayo ya Ruto yanafuatia hatua ya Azimio kuazimia kurejelea mandamano yakitaiafa …
Chama cha Jubilee kinatarajiwa kuandaa Kongamano Maalum la Wajumbe wake mwezi Mei tarehe 22 mwaka huu. Katika notisi iliyotiwa saini na kiongozi wa chama na aliyekuwa Rais Uhuru Kenyatta, chama hicho kilieleza ajenda kuu ya mkutano huo ni kutunga na kuidhinisha sera…
Askofu wa jimbo katoliki la Ngong John Oballa Owaa amewarai vijana katika jimbo hili kujifunza zaidi kuhusu imani ya kikristu ili kuepuka na kukabiliana na mafunzo ya kupotosha kutoka kwa watu wanaojiita wahubiri na walimu wa dini. Katika homilia yake kwenye misa…