BY ISAYA BURUGU,29TH APRIL,2023-Wakaazi wa Kijiji cha Kibunja,kaunti ndogo ya Molo kaunti ya Nakuru wameachwa na mshangao baada ya mwanamke mmoja kupatikana akishikilia mwili wa mumewe kwa Zaidi ya waki moja baada yake kuaga dunia. Inashukiwa kuwa mwanamme huyo alifariki dunia Zaidi…
BY ISAYA BURUGU,29TH APRIL,2023-Luteni generali Francis Omondi Ogolla na luteni generali Jonah Maina Mwangi wameapishwa rasmi hivi leo kama mkuu wa majeshi na naibu wake mtawalia katika hafla iliyoandaliwa katika ikulu ya Nairobi.Ogolla anachukua mahala pa generali Robert Kariuki Kibochi ambaye muda…
Mamlaka ya mawasiliano nchini imefuta leseni za vituo viwili vya Runinga vinavyohusiana na wahubiri Paul Makenzi na Ezekiel Odero, kwa kigezo cha kukiuka mwongozo wa leseni za utangazaji. Katika notisi iliyochapishwa na mwenyekiti wa mamlaka hiyo Ezra Chiloba siku ya Ijumaa, leseni…
shughuli ya kufukua miili katika eneo la Shakahola Kaunti ya Kilifi limesitishwa hii leo kutokana na mvua kubwa katika eneo hilo, serikali sasa ikielekeza mcho yake katika shughuli za uokozi.Waziri wa usalama wa ndani Kithure Kindiki amesema kwamba serikali itafanikiwa katika vita…
Rais William Ruto sasa amemteua Luteni Jenerali Francis Omondi Ogolla kuwa Mkuu mpya wa Majeshi, akichukua nafasi ya Jenerali Robert Kariuki Kibochi ambaye muda wake wa kuhudumu umefikia kikomo. Jenerali Ogolla alikuwa, akihudumu kama Makamu Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi. Jenerali Kibochi,…
BY ISAYA BURUGU 28TH APRIL,2023-Rais Wiliam Ruto amesema kuwa serikali yake imejitolea kuboresha Maisha ya kila mwananchi. Akizungumza alipozindua ukarabati wa barabara ya kilomita 65 mjini Ongata Rongai,rais amesema barabara bora ndizo zitakazowawezesha wakulima kusafirisha mazao yao hadi sokoni na kupata faida.…
BY ISAYA BURUGU,28TH APRIL,2023-Maafisa wa polisi sasa wataka kuruhusiwa kumzuilia mhubiri Ezekiel Odero kwa siku 30 zaidi ili kukamilisha uchunguzi dhidi yake.Mhubiri huyo awa kanisa la New Life Prayer Centre and Church alikamatwa hiyo jana na polisi wanasema kuna Habari za kuaminika…
Naibu Rais Rigathi Gachagua ametoa wito wa kuimarishwa kwa ushirikiano kati ya washikadau wote wakiongozwa na sekta ya usalama na mahakama humu nchini ili kukomesha tishio la ugemaji, unywaji na vilevile uraibu wa pombe na dawa za kulevya katika eneo la mlima…