Upcoming UEFA Champions League Matches – October 1 & 2, 2024 Get ready for an exciting midweek of UEFA Champions League action! On Tuesday, October 1, top clubs will face off, including Arsenal taking on Paris Saint-Germain at the Emirates Stadium and…
Jumbe za rambirambi zinaendelea kutolewa na viongozi mbalimbali nchini, kufuatia kifo cha ghafla cha mwanariadha Kelvin Kiptum akiwa na umri wa miaka 24. Kiptum alikuwa mshikilizi wa rekodi ya dunia katika mbio za Marathon. Mwanamichezo huyo pamoja na mkufunzi wake kutoka Rwanda…
BY ISAYA BURUGU 18TH FEB,2023-Mwanasoka wa Ghana Christian Atsu amepatikana amefariki chini ya vifusi vya nyumba yake nchini Uturuki takriban wiki mbili baada ya tetemeko la ardhi kukumba nchi hiyo na kusababisha majumba mengi kuporomoka. Ajenti wa mchezaji huyo, Murat Uzunmehmet amethibitisha…
BY ISAYA BURUGU,30TH JAN,2023-Serikali ya kitaifa inalenga kujenga nyumba elfu 10 za bei nafuu katika kaunti hii ya narok katika mpango wake wa kuwajengea wananchi nyumba za bei nafuu humu nchini. Haya ni kwa mujibu wa Rais william Ruto. Akizungumza alipozuru kaunti…
Mji wa pwani wa Brazil wa Santos, ambao gwiji wa michezo Pele alianzia kuchezea na kupata umaarufu wake, umekua ukiendeleza shughuli ya kutoa heshima zake za mwisho siku ya leo kwa shughuli inayotarajiwa kuendelea kwa kipindi cha saa 24. Gwiji huyo wa…
BY ISAYA BURUGU 30TH DEC,2022-Uwanja ambao nguli wa soka wa Brazil Pelé alicheza baadhi ya mechi bora zaidi za maisha yake pia utaruhusu watu kutoa salamu zao za mwisho siku ya Jumatatu na Jumanne. Santos, klabu ambayo Pelé alicheza huko Brazil, ilisema…
Rais wa shirikisho la kandanda duniani FIFA Gianni Infantino, amejibu ukosoaji unaotolewa kwa Qatar kuhusu madai ya ukiukwaji haki za binaadam akisema huu ni unafiki wa mataifa ya Magharibi. Infantino ameyasema hayo siku moja kabla ya ufunguzi wa mashindano ya Kombe la…