Maasai People

Katika taifa la Kenya jamii ya Maasai inatambuliwa kama mojawapo ya jamii zilizohifadhi tamaduni zake kwa muda mrefu, na kuifanya kuwa hata kivutio cha watalii wanaotoka maeneo tofauti ya dunia kuja kushuhudia mtindo wa maisha wa wanajamii hawa. Lakini je unajua chimbuko la jamiii hii? Katika makala haya tunazama kutafuta mizizi na chimbuko la jamii hadi hadi walipofika mahali walipo sasa. Kwa malalamishi yoyote kuhusiana na Makala haya Wasiliana nasi.

Sikiliza makala haya uanze safari yako ya kuifahamu jamii hii, pamoja na mila, itikadi, tamaduni na pia desturi zao.

Iwapo una malalamishi yoyote kuhusiana na Makala haya Wasiliana nasi, au uwasiliane na John Waicua kwa barua pepe j.waicua@radioosotua.co.ke

Chimbuko la Jamii
Chimbuko la Tamaduni - Maasai
EPISODE 1 | CHIMBUKO LA TAMADUNI – ASILI YA JAMII YA WAMAASAI – PODCAST
Loading
/
Chimbuko la Jamii
Chimbuko la Tamaduni - Maasai
EPISODE 2 | CHIMBUKO LA TAMADUNI – MUUNDO WA FAMILIA YA KIMAASAI – PODCAST
Loading
/
Chimbuko la Jamii
Chimbuko la Tamaduni - Maasai
EPISODE 3 | CHIMBUKO LA TAMADUNI – NAFASI YA WANAWAKE KATIKA JAMII YA MAA – PODCAST
Loading
/
Chimbuko la Jamii
Chimbuko la Tamaduni - Maasai
EPISODE 4 | CHIMBUKO LA TAMADUNI – HESHIMA YA MAMA MJAMZITO KATIKA JAMII YA MAA – PODCAST
Loading
/
Chimbuko la Jamii
Chimbuko la Tamaduni - Maasai
EPISODE 5 | CHIMBUKO LA TAMADUNI – MFUMO WA MAJINA KATIKA JAMII YA MAA – PODCAST
Loading
/
Chimbuko la Jamii
Chimbuko la Tamaduni - Maasai
EPISODE 6 | CHIMBUKO LA TAMADUNI – MALEZI YA WANA KATIKA JAMII YA MAA – PODCAST
Loading
/
Chimbuko la Jamii
Chimbuko la Tamaduni - Maasai
EPISODE 7 | CHIMBUKO LA TAMADUNI – SHEREHE YA KUPASHWA TOHARA (PART 1) – PODCAST
Loading
/
Chimbuko la Jamii
Chimbuko la Tamaduni - Maasai
EPISODE 8 | CHIMBUKO LA TAMADUNI – SHEREHE YA KUPASHWA TOHARA (PART 2) – PODCAST
Loading
/
Chimbuko la Tamaduni - Maasai
Chimbuko la Tamaduni - Maasai
EPISODE 9 | CHIMBUKO LA TAMADUNI – MAISHA YA MORANI WA KIMAASAI – PODCAST
Loading
/
Maasai People
Chimbuko la Tamaduni - Maasai
EPISODE 10 | CHIMBUKO LA TAMADUNI – MCHAKATO WA KUPATA MKE KATIKA JAMII YA MAA – PODCAST
Loading
/
Maasai People
Chimbuko la Tamaduni - Maasai
EPISODE 11 | CHIMBUKO LA TAMADUNI – TAMADUNI YA KUWEKA FIMBO AU MKUKI NJE YA BOMA – PODCAST
Loading
/
Maasai People
Chimbuko la Tamaduni - Maasai
EPISODE 12 | CHIMBUKO LA TAMADUNI – MABADILIKO KATIKA TAMADUNI YA MAA – PODCAST
Loading
/
November 26, 2024