BY ISAYA BURUGU 13TH APRIL,2023-Douglas Kanja ameapishwa na jaji mkuu Martha Koome katika mahakama ya juu Zaidi kama  naibu inspekta jenerali wa polisi.Kanja aliyekuwa kamanda wa kitengo cha GSU aliteuliwa na rais Wiliamu Ruto jana jioni kuwa kuchukua nafasi iliyowachwa wazi baada ya Edward Mbuguah kustaafu.

Kabla ya kuwa kamanda wa GSCU Kanja amewahi kuwa mkuu wa polisi kaunti ya  Kilifi.

.

Jaji mkuu amemtaka Kanja kufuata katiba kikamilifu anapotekeleza majukumu yake Mapya.Hafla hiyo imehudhuriwa na inspeka mkuu wa polisi Japheth Koome na mkurugenzi wa idara ya upelelezi wa jinai Amin Muhamed.

 

 

 

 

 

April 13, 2023