BY ISAYA BURUGU,12TH MAY 2023-Katika juhudi za kukwamua maendeleo katika kaunti ndogo ya Narok kusini,hazina kuu yakitaifa inapania kutoa Zaidi ya shilingi milioni 200 kwa minajili ya kufanikisha azimio hilo.

Naibu kamishna wa Narok Kusini Felix Kisalu amedokeza kuwa maeneo ya Narosura,Loita,

Eldonyongiro na Melelo ndio baadhi ya maeneo yatakayonufaika na ufadhili huo utakaoelekezwa katika miradi mbali mbali yakimaendeleo.Antony Mintila ana mengi Zaidi.

 

May 12, 2023