BY ISAYA BURUGU 6TH JULY,2023-Tangazo la rais Wiliam Ruto kuondoa marufuku iliyyowekwa dhidi ya ukataji miti  alilotoa wiki moja iliyopita inazidi kuibua hisia mesto kutoka wa watetezi mbali mbali wa mazingira na wannachi.

Wa hivi punde Zaidi  ni watetezi wa mazingira kutoka kaunti hii ya Narok ambao wamepinga hatua hiyo wakisema itarudisha nyuma pakubwa juuhudi zilizopigwa katika kuhifadhi misistu nchini.

Antony Mintila ana kina cha taarifa hiyo.

 

July 6, 2023