BY  ISAYA BURUGU ,11TH MAY 2023-Kaunti ya Makueni imetamatisha maandalizi ya konganao la kwanza kabisa la kitaiafa kuhusu maembe.Gavana wa kauni hiyo Mutula Kilonzo Junior anasema kuwa wameshirikiana na idara zingine za kilimo kama vile shirika la kilimo nchini kufanikisha kongamano hilo linalotarajiwa kuandaliwa kabla ya mwisho wa mwezi huu.

Kongamano hilo litangazia kati yam engine changamoto zinazowakumba wakulima wa maembe kwenye kaunti hiyo na kaunti zingine.Kusaka soko la bidhaa hiyo huu nchini nan je ya nchi kati ya mengine.

Gvana Mutula junior akisema kuwa maafisa mbali mbali wakiwemo maafisa kutoka serikali kuu watahudhuria.

.

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

May 11, 2023