BY ISAYA BURUGU 21ST FEB,2023-Mahakama kuu imeairisha utoaji umauzi kuhusu iwapo au la faili a kesi dhidi ya mwendesha maagari ya mashindano yaani rali Maxine Wahome itafungwa kwenye kesi inayohusu mauaji ya mpenziwe Assad Khan.
Mahakama kuu jijini Nairobi imempa mkurugenzi mkuu wa mashtaka ya umma na idara ya upelelezi wa jinai DCI siku 15 kuwasilisha ripoti kuhusu jinsi kesi hiyo inapaswa kuendelea.
Uamuzi utatolewa tarehe saba mwezi Machi kuhusu iwapo faili ya kesi dhidi ya Wahome itafungwa au anapaswa kushtakiwa.