Michael Warutere ameibuka mtahiniwa bora zaidi katika mtihani wa Cheti cha Elimu ya Msingi Kenya (KCPE) 2023 akiwa na alama 428 kati ya 500. Warutere, ambaye alifanya mitihani yake ya kitaifa katika shule ya Riara Springs jijini Nairobi, alielezea kutokuamini kwake habari hizo, akisema kuwa alitarajia angalau alama 410.

Mtahiniwa huyo aidha amewahimiza wanafunzi wengine kuendelea kudurusu vitabu vyao ili kuboresha matokeo yao.

  1. Michael Warutere (Riara springs)- 428
  2. Immaculate Waceke (Gilgil hills) – 425
  3. Mwaniki Cynthia Wangui (Tumaini Valley spring Academy)- 423
  4. Asher Kiburi (Tumaini valley spring Academy)- 421
  5. Gachuche Edwin Ndirangu //                     – 420
  6. Ombongi Emmanuel //                         – 420
  7. Kentvick Anyona (St. Mathews learning centre)- 418
  8. Wayne Musyoka //                            – 418
  9. Gyan Nganyi //                           – 418

10.Brian Mbugua               //                             – 417

November 23, 2023