Naibu wa rais Rigathi Gachagua hii leo alishiriki mbio za heart to heart zilizofanyika Nairobi.
Akizungumza baada ya kuzindua mbio hizo, Gachagua aliipongeza Hospitali ya Karen kwa kuandaa mbio hizo ambazo zinalenga kutoa msaada kwa familia zinazokabiliwa na changamoto za kifedha katika kutunza watoto walioathiriwa na magonjwa ya moyo.
Aidha alitoa changamoto kwa hospitali zingine na wadau wa matibabu kupitisha mipango kama hiyo ili kukamilisha juhudi za serikali katika kutoa huduma bora za afya.
This morning, I was glad to join runners, including children, who braved the chilly Saturday morning to participate in the Heart to Heart Run in Nairobi.
The Karen Hospital Heart to Heart Run has, for the last 30 years, become a symbol of compassion, resilience, and hope for… pic.twitter.com/VO47ChOmOr
— H.E. Rigathi Gachagua, EGH (@rigathi) June 17, 2023