Nyuki… wadudu wadogo, lakini wenye umuhimu mkubwa kwa maisha ya wanadamu. Wadudu ambao wanatambulika kwa bidii zao na uwezo wa kipekee wa kutengeneza asali na pia kusaidia mimea mbalimbali katika uzalishaji. Lakini je unafahamu kwamba ukulima wa nyuki au apiculture ni mojawapo…
Kila siku ya tarehe 16 mwezi Juni kuanzia mwaka wa 1991, ulimwengu huungana katika kuiadhimisha siku ya mtoto wa afrika. Katika maadhimisho ya siku hii, masuala mbalimbali yanayoathiri Maisha ya mamilioni ya Watoto katika bara la afrika hujadiliwa na uhamasisho kutolewa. Mwaka…
Kila siku ya tarehe 16 mwezi Juni kuanzia mwaka wa 1991, ulimwengu huungana katika kuiadhimisha siku ya mtoto wa afrika. Katika maadhimisho ya siku hii, masuala mbalimbali yanayoathiri Maisha ya mamilioni ya Watoto katika bara la afrika hujadiliwa na uhamasisho kutolewa. Mwaka…
Je Ni nini haswa kinawazuia watoto wote wa Kaunti ya Narok na taifa la Kenya, na katika Bara la Afrika kupata elimu?
Baada ya wazazi kuwaunganisha mvulana na msichana wanaopaswa kuoana na kuhakikisha kwamba wamejuana, wazee kutoka upande wa mvulana walianza mchakato wa kuelekea katika aila ya binti anayeozwa ili kujitambulisha rasmi na kuanza mazungumzo ya kuunganisha familia hizi mbili. Shughuli hii ilikuwa mwanzo…
Katika jamii ya Abagusii, mwongozo wa tamaduni ulielekeza kwamba wazazi walikua na jukumu la kumtafuta mchumba kwa mwana wao. Wazazi wa mvulana hivyo basi walianza jukumu hili punde tu walipohisi kwamba mwana wao amefikia umri wa kuoa. Kwa mujibu wa mmoja wa…
Katika jamii yoyote ile humu nchini, kulikua na mfumo maalum, uliotumiwa kama ishara kwamba mwanajamii amevuka katika daraja la utu uzima na kuacha kufanya mambo ya kitoto. Katika jamii ya Abagusii, daraja hili lilitiwa chapa kwa kupitia tohara iliyotekelezwa kwa wanajamii wote…
Mama mjamzito alijifungua nyumbani kwa msaada wa wakunga ambao mara kwa mara walikua kina Nyanya. Katika miaka ya kale, mfumo wa elimu unaotambuliwa na kuzingatiwa kwa sasa haukuwako, hivyo basi watoto walipata mafunzo yao moja kwa moja kutoka kwa wanajamii wengine, kwa…