Chanzo cha kila jamii kote ulimwenguni huwa Familia. Ni kutokana na familia ndipo tunapata jamii na hata taifa. Katika awamu ya leo, tunaangazia muundo wa familia ya KiMaasai. Familia hii iliyotoa ruhusa kwa wanaume kuoa zaidi ya mke mmoja ilikua na mwongozo maalum kwa wanaume na wanawake waliotaka kuingia katika masiha ya ndoa. Kwa malalamishi yoyote kuhusiana na Makala haya Wasiliana nasi.

October 14, 2022

Leave a Comment