Kila siku ya tarehe 16 mwezi Juni kuanzia mwaka wa 1991, ulimwengu huungana katika kuiadhimisha siku ya mtoto wa afrika. Katika maadhimisho ya siku hii, masuala mbalimbali yanayoathiri Maisha ya mamilioni ya Watoto katika bara la afrika hujadiliwa na uhamasisho kutolewa.

Mwaka huu, suala la elimu limepewa kipaumbele kwenye maadhimisho ya siku ya mtoto wa Afrika, kauli mbiu ikiwa ni Masomo kwa kila mtoto wa Afrika, wakati ni sasa. Kauli mbiu hii inaalika wahusika wa sekta mbalimbali kuimarisha juhudi za kuhakikisha kwamba kila mtoto anapata elimu.

Iwapo una malalamishi yoyote kuhusiana na Makala haya Wasiliana nasi, au uwasiliane na John Waicua kwa barua pepe j.waicua@radioosotua.co.ke

June 14, 2024

Leave a Comment