Rais William Ruto amemteua Douglas Kanja Kirocho kama naibu Inspekta jenerali wa Polisi nchini, kuchukua mahala palipoachwa wazi na Edward Mbugua aliyestaafu mwezi jana.

Katika notisi iliyochapishwa na mkuu wa Utumishi wa umma nchini Felix Koskei hii leo, Rais pia amemteua Bruno Shioso kama Mkurugenzi Mkuu wa Huduma ya Walinzi wa Pwani ya taifa (Kenya Coastguard)

https://twitter.com/HusseinMohamedg/status/1646142631947165700

April 12, 2023