BY ISAYA BURUGU 4TH JULY,2023- Serikali iko macho kuwianisha matumizi yakifedha kuelekezwa katika miradi ya kimaendeleo na kufadhili shughuli za kila siku za serikali.Rais Wiliam Ruto amesem akuwa serikali inatumia fedha nyingi katika matumizi ya kila siku  kupita inavyohitajika.Amesema asilimia 46 ya mapato ya nchi yanatumiwa kulipia mishara ya wafanyikazi wa   umma.Rais amedokeza kuwa hatua hiyo itahakikisha kuwa mpango wakimaendeleo nchini haukosi ufadhili.

.Rais ameyasema hayo leo katika ikulu ya Nairobi wakati wa kupishwa kwa makatibu wkauu Salome Muhia-Beacco wa huduma za urekebishaji na  Anne Wang’ombe wa utenda kazi na utoaji huduma.Rais amewataka                     makatib u hao wakuuukufanya kazi kwa karibu na mawaziri wao ili kufanikisha utekelezaji wa ajenda za serikali.

 

 

 

July 4, 2023