Serikali inapania kuagiza mbolea kutoka nchini Tanzania kuanzia julai mwaka huu.Taasisi ya utafiti wa kilimo na mifugo KALRO imepatiwa jukumu la kukagua ubora wa mbolea hiyo.
Kwa mujibu wa waziri wa kilimo Mithika Linturi ni kwamba hatua hiyo inapania kuwasilisha mbolea ya bei nafuu kwa wakulima ili kuongeza uzalishaji wa chakula humu nchini.
Linturi ameeleza kuwa mbolea ya FOMI asilimia 50 ni halisi na asilimia 50 iliyosalia ni kemikali hivyo kupunguza gharama. Hali kadhalika ameongeza Serikali ina lengo la kuongeza uzalishaji wa bidhaa za kilimo kwa kupunguza gharama ya mbolea.
Today I toured Dodoma Tanzania for a fact finding mission as assigned by H.E President @WilliamsRuto regards to finding solutions to reduction of the cost of food production. In the company of the Tanzanian Assistant Minister of Agriculture Hon Antony Mavunde pic.twitter.com/xV2ks6ClHh
— Hon.Mithika Linturi (@mithika_Linturi) February 3, 2023
Am happy to note that FOMI fertilizer is produced 50% with organic compound and 50% chemical hence the reduction of cost.Later, I also paid a courtesy call to the Tanzanian Agriculture Minister Hon Hussein Bashe where we discussed matters collaboration between the two countries. pic.twitter.com/FGzAFWuRSE
— Hon.Mithika Linturi (@mithika_Linturi) February 3, 2023