BY ISAYA BURUGU,21ST APRIL,2023-Ulimwengu unajiandaa kuadhimisha siku ya malaria duniani wiki ijayo.Hata ingawa kuna mengi yaliyoafanywa katika kutokomeza ugonjwa huo humu nchini mengi pia yanasalia kutekelezwa.

Kwa mfano katika kaunti ya Siaya mbu wanaosabbaisha malaria wanaripotiwa kuongezeka haswa kijiji cha hawinga katika eneo bunge la Alego Usonga.Hii inatokana na ukaribu wa Kijiji hicho kwa ziwa Victoria.

Wakaazi wakitaka serikali kuongeza idadi ya vyandaua vya kuzuia mbu haswa wakati kenya inapotarajia kujiunga na mataiafa mengine dunia kwa madhimisho ya siku ya malaria.

Madhamisho yam waka huu yatandaliwa katika kaunti ya Nyamira tarehe 25 mwezi huu   ambayo itakuwa siku ya jumanne ijayo.

 

 

 

 

 

April 21, 2023