Baada ya wazazi kuwaunganisha mvulana na msichana wanaopaswa kuoana na kuhakikisha kwamba wamejuana, wazee kutoka upande wa mvulana walianza mchakato wa kuelekea katika aila ya binti anayeozwa ili kujitambulisha rasmi na kuanza mazungumzo ya kuunganisha familia hizi mbili. Shughuli hii ilikuwa mwanzo…
Katika jamii ya Abagusii, mwongozo wa tamaduni ulielekeza kwamba wazazi walikua na jukumu la kumtafuta mchumba kwa mwana wao. Wazazi wa mvulana hivyo basi walianza jukumu hili punde tu walipohisi kwamba mwana wao amefikia umri wa kuoa. Kwa mujibu wa mmoja wa…
Katika jamii yoyote ile humu nchini, kulikua na mfumo maalum, uliotumiwa kama ishara kwamba mwanajamii amevuka katika daraja la utu uzima na kuacha kufanya mambo ya kitoto. Katika jamii ya Abagusii, daraja hili lilitiwa chapa kwa kupitia tohara iliyotekelezwa kwa wanajamii wote…
Mama mjamzito alijifungua nyumbani kwa msaada wa wakunga ambao mara kwa mara walikua kina Nyanya. Katika miaka ya kale, mfumo wa elimu unaotambuliwa na kuzingatiwa kwa sasa haukuwako, hivyo basi watoto walipata mafunzo yao moja kwa moja kutoka kwa wanajamii wengine, kwa…
Mwongozo wa desturi za Abagusii uliheshimu sana familia kama kituo cha muhimu Zaidi katika jamii, huku wanaume wakiwa na uwezo wa kuoa Zaidi ya mke mmoja. Kutokana na kiwango kikubwa cha heshima kati ya wanaume na wanawake, mke wa kwanza alikuwa na…
Jamii ya Abagusii, ni kabila la Wabantu ambao wanaishi katika Kaunti ya Kisii kusini-magharibi mwa Kenya. Jamii ya Abagusii ni mojawapo ya jamii zenye idadi kubwa sana ya watu katika taifa la Kenya. Katika ramani ya taifa la Kenya, jamii ya Abagusii…
Katika Maisha, uwezo wa kustahimili mabadiliko kadri muda unavyosonga ni moja ya vipengee ambavyo huashiria udhibiti na ukomavu. Mila na tamaduni ya Kimaasai, ni mojawapo ya tamaduni zilizoweza kustahimili mabadiliko kwa miaka na mikaka na kusalia imara hadi katika ulimwengu wa sasa.…
Kutokana na hali ya jamii hii ya Maa kuegemea sana taasubi za kiume, kulikuwa na njia maalum ya kutangaza uwepo wa mwanume katika boma Fulani. Wanaume walitumia fimbo au mikuki hasa kwa vijana wa Morani, kuashiria uwepo wao katika boma, ili kumjulisha…