BY ISAYA BURUGU 6TH MAY 2023-Kufuatia visa vya uhalifu na hasa watu kuvamiwa katika eneo la Ololunga eneo bunge la Narok Kusini kaunti ya Narok katika siku za hivi karibuni,mbunge wa eneo hilo Keitalai Ole Ntutu amewataka wasimamizi wa usalama eneo hilo kuelezea mikakati inayopaswa kuwekwa ili kukabiliana na ukosefu wa usalama.
Mbunge huyo amedia kuwa maafisa wa polisi wanapokaa katika kituo kimoja cha polisi kwa muda mrefu huanza kuzembea kazini.