BY ISAYA BURUGU,14TH APRIL,2023-Onyo imetolewa kwa watu walio na mazoea ya kukata miti kiholela katika kaunti hii ya Narok.Onyo hiyo imetolewa na Jaji wa mahakama ya Narok Adeline Sisenda .

Jaji huyo anasema  mahakama hiyo iko tayari kumchukulia yeyote hatua kali za kisheria iwapo atapatikana na hatia ya ukataji miti haswa kwenye misitu.

Sisenda akizungumza eneo la Suswa Narok mashariki amehaidi kushirikina na mafisa wa kulinda msitu kuwakamata na kuwashtaki watakao kata miti kaunti ya Narok.

.

 

 

April 14, 2023