BY ISAYA BURUGU ,30TH NOV,2022-Changamoto mbali mbali za kiuchumi zimetajwa kama sababu kuu zinazopelekea ongezeko la visa vya mimba za mapema miongoni mwa wanafunzi wakike kaunti ya Narok. Kwa mjibu wa mwakilishi wadi wa la ololulunga Dominick Songoi Lemein ni kwamba umaskini unaopelekea wanafunzi hao kukosa namna ya kusafiri hadi shuleni na kuomba msaada kutoka kwa watu wasio wafahamu vyema Pamoja na umiliki wa simu ni baadhi ya sababu hizo.Norah Mosonik ana mengi Zaidi.